Deuteronomy 4:31

31 aKwa maana Bwana aliye Mungu wenu ni Mungu mwenye huruma, hatawaacha au kuwaangamiza wala kusahau Agano alilofanya na baba zenu, alilowathibitishia kwa kiapo.

Bwana Ndiye Mungu

Copyright information for SwhKC